OMBI LA ETD

  • Mwombaji ajaze fomu mtandaoni kupitia http://www.immigration.go.tz/etd_customer/

  • Chapisha “print” fomu na kuituma pamoja na viambatisho kwa njia ya barua pepe (passport@tzhc.uk).Viambatisho hivyo ni; barua ya ombi, nakala ya pasipoti na nakala ya kibali cha ukaazi.

  • Ombi likipokelewa na kuingizwa katika mfumoa na kuthibitishwa muombaji atatumiwa bili ya malipo kwa barua pepe.

  • Bili ya malipo itamwonyesha tovuti ya kufanya malipo kwa njia ya mtandao.

  • Malipo yakikamilika muombajia atakuja Ubalozini kuchukua ETD yake.