Emergency Travel Document (ETD)

Emergency Travel Document

Hii ni huduma inayomuwezesha muombaji kujaza Fomu ya Maombi ya Hati ya Dharura kwa njia ya Kielektroniki kutokea popote alipo.

HATUA ZA UOMBAJI ETD

Kabla ya kujaza Fomu Mwombaji ahakikishe amefanya scanning ya picha yake na viambato vyote; Cheti cha kuzaliwa, nakala ya passport, cheti cha kuzaliwa ama affifadit ya mzazi mmojawapo, iternary ama tiketi ya safari na barua ya maombi (PDF).

  1. Mwombaji ajaze fomu mtandaoni. 
  2. Apakue fomu yake na kuituma pamoja na viambatisho vyake kwa njia ya barua-pepe (passport@tzhc.uk).
  1. Ikishapokelewa na kuingizwa katika mfumo na kuthibitishwa atatumiwa stakabadhi ya malipo kwa barua pepe.
  1. Stakabadhi ya malipo itamwonyesha tovuti ya kulipia ada ya ETD kwa njia ya mtandao ($20).
  2. Malipo yanachuku masaa 24.

Tuma ombi na viambato: passport@tzhc.uk

Tovuti ya maombihttp://etd.immigration.go.tz/etd_customer/