Utaratibu wa kuchukulia Alama za Vidole

  • Mwombaji wa pasipoti ni lazima achukuliwe alama za vidole (finger prints) na kuweka saini yake mbele ya Afisa mhusika.
  • Ili afanyiwe alama za vidole, mwombaji anatakiwa kuomba kupewa siku ya ahadi (appointment date) kwa kupiga simu au kutuma barua pepe.